Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 36
- 54
Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
Ninakodi eneo kwaajiri ya ufugaji.. Nimetafuta la kununua sijafanikiwa nataka nikodiSijakuelewa hapo,unakodi Ili ufuge?hii imekaaje sijawahi kusikia Kwa hapa Tz!!!
unataka morogoro wilaya gani?
Shamba Ekari 9.7 lipo kiegea "B' kata ya Mkundi,Manispaa ya Morogoro,kwa mawasiliano zaidi nicheki 0754315738.Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
Unataka ekari ngapi, na unataka kufuga nini?Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
Vianzi ipo wapi mkuu? Wilaya ganiNjoomaeneo ya vianzi, mafulu au kimambila, kwa laki 5 tu unapata hekal kadhaa za podi unafyeka mwenyewe, ni karibu na mjini
Unazuza Au unakodishaShamba Ekari 9.7 lipo kiegea "B' kata ya Mkundi,Manispaa ya Morogoro,kwa mawasiliano zaidi nicheki 0754315738.
Njoo inbox nina shamba ekali 60; kati ya hizo ekari 25 limesafishwa. Lipo Morogoro 20KM from townKwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara