Natafuta shamba la kukodi Morogoro

Natafuta shamba la kukodi Morogoro

Habari za muda huu.

Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.

Ahsanteni.
 
Habari za muda huu,

Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika, pia Liwe na bei ya kawaida.

Ahsanteni..
 
Habari za muda huu,

Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili.

Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.

Ahsanteni.

Keygun Gershom
Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road

Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta
 
Back
Top Bottom