Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikiaPia jaribu kucheki maeneo ya Mvumi, Kilosa. Kule uhakika hata bei za kukodi zipo chini kidogo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikiaPia jaribu kucheki maeneo ya Mvumi, Kilosa. Kule uhakika hata bei za kukodi zipo chini kidogo..
Nakuja PMNina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road
Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta
Watu kama nyinyi mnahitajika sana kwenye hii jamiiNina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma Road
Kwa kuwa nimehamia Kibaha, naweza kupa ufanye project kwa mwaka wa kwanza free mkuu, maji wapo walovuta
Nishamsikia 🤝🤝Ok....mleta Uzi ndio ana Nia atasikia
Hayo maeneo yote sawa tuu1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani?
2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani?
Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji
Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini???Mwaka huu lkn 4, na kwa connection
Na mtu akipanda bei unarudishiwa hela yko mwenzako anapewa
Dakawa imekua ya hovyo sana
Potential ipo kwa vile ni kilimo cha umwagiliaji na manufaa yapo piaMmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini???