Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Ahsante kaka🤝Nenda mitaa ya kilosa
Poa, kule utapata.Ahsante kaka🤝
Bei zake zipoje kwa haraka harakaPoa, kule utapata.
Kati ya laki 1 na 1.5, usikubali kulipa zaidiBei zake zipoje kwa haraka haraka
Wenye details nzuri za Dakawa scheme msaidieni kijana wenuHabari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika, pia Liwe na bei ya kawaida.
Ahsanteni..
Unataka kulima niniHabari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika, pia Liwe na bei ya kawaida.
Ahsanteni..
Last time nimelima pale ilikuwa 300k per acre ila kupata shamba ni changamoto Kuna ushindani sana..Wenye details nzuri za Dakawa scheme msaidieni kijana wenu
Kiroka na DakawaHabari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili.
Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.
Nimemsikia hivyo,ila uhakika wa mgao wa maji si mzuri?Last time nimelima pale ilikuwa 300k per acre ila kupata shamba ni changamoto Kuna ushindani sana..
Mwaka huu lkn 4, na kwa connectionLast time nimelima pale ilikuwa 300k per acre ila kupata shamba ni changamoto Kuna ushindani sana..
Pia kuna baadhi ya mashamba yao yameathiliwa sana na chumvi sijui wametatua hilo tatizo au bado ..Mwaka huu lkn 4, na kwa connection
Na mtu akipanda bei unarudishiwa hela yko mwenzako anapewa
Dakawa imekua ya hovyo sana
Kuna kipindi maji yanapungua so kama position ya shamba ipo mbali panakuwa na usumbufu kidogo , so make sure unapata sehemu nzuriNimemsikia hivyo,ila uhakika wa mgao wa maji si mzuri?
Nina heka 5 pale mkundi ( km 20 toka msamvu) na km 8 toka dodoma RoadHabari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili.
Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.
Ahsanteni.
Keygun Gershom
Pia jaribu kucheki maeneo ya Mvumi, Kilosa. Kule uhakika hata bei za kukodi zipo chini kidogo..Nimemsikia hivyo,ila uhakika wa mgao wa maji si mzuri?
BadoPia kuna baadhi ya mashamba yao yameathiliwa sana na chumvi sijui wametatua hilo tatizo au bado ..