Natafuta shamba pwani

Natafuta shamba pwani

POTUS

Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
8
Reaction score
4
Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo:

1. Kuanzia heka 1 mpaka 5

2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo

3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au bagamoyo bypass (barabara mpya ya bagamoyo)

4.miundo mbinu muhimu kama barabara, maji na umeme iwe inapatikana,

5. Eneo lisiwe na mgogoro, au mlolongo wowote.

6. Liwe linafaa kwa ufugaji, kilimo, na uwekezaji wa kiwanda kidogo cha kuchakata mazao ya kilimo.

7. Bei ya kizalendo kwa mtanzania kijana anataka kujiajili

8. Uwe tayari kuhakiki matumizi ya hiyo ardhi kwenye ofisi husika za ardhi

Kwa watu serious tu, nipigie kwa namba 0736123488
 
mkuu

mkuu umefanikiwa kupata ardhi husika? mimi pia ni mhitaji
 
Karibuni
14EA9845-C3F2-46F4-A8D5-215F156D0DF6.jpg

𝗢𝗙𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗩𝗜𝗚𝗪𝗔𝗭𝗔

𝗢𝗙𝗔 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝗶𝗻𝗮𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝘄𝗮𝗵𝗶 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝘆𝗮𝗺𝗲𝗯𝗮𝗸𝗶 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗮𝗰𝗵𝗲

𝗖𝗮𝗹𝗹/𝘄𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝟬𝟳𝟴𝟲𝟲𝟭𝟭𝟬𝟭𝟰/𝟬𝟳𝟭𝟮𝟯𝟳𝟲𝟴𝟵𝟴

𝗛𝗲𝗸𝗮𝗿𝗶 𝟭 𝗧𝘀𝗵 𝟯,𝟬𝟬𝟬,𝟬𝟬𝟬 𝗸𝘄𝗮 𝗮𝘄𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝟭 𝘁𝘂 𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗹𝗶𝗽𝗶𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶 𝟯 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝘂𝘁𝗮𝗸𝗮𝗽𝗼 𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮

𝗞𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗶𝘁𝗲 𝗻𝗶 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂
 
Wapigie hawa watakusaidia ni kampuni inayouza VIWANJA na MASHAMBA BAGAMOYO ambayo VIWANJA vyao VIMEPIMWA hii kampuni IPO pale mwenge stand ya daradara ziendazo BUNJU kampuni inaitwa SALVAGE COMPANY LIMITED ni waaminifu Sana wapigie kwa +255717134733 waambie namba nimepewa na Mzee wa masaki KWANI Hata mimi ni mteja wao mkubwa sana ....ukitaka kujilidhisha unaweza kufika ofisini Kwao PIA.
 
Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo:

1. Kuanzia heka 1 mpaka 5

2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo

3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au bagamoyo bypass (barabara mpya ya bagamoyo)

4.miundo mbinu muhimu kama barabara, maji na umeme iwe inapatikana,

5. Eneo lisiwe na mgogoro, au mlolongo wowote.

6. Liwe linafaa kwa ufugaji, kilimo, na uwekezaji wa kiwanda kidogo cha kuchakata mazao ya kilimo.

7. Bei ya kizalendo kwa mtanzania kijana anataka kujiajili

8. Uwe tayari kuhakiki matumizi ya hiyo ardhi kwenye ofisi husika za ardhi

Kwa watu serious tu, nipigie kwa namba 0736123488

Funga safari nenda mahali usika unataka kaonane na mtendaji ofisini kwake
Utapewa Maelezo na bei nzuri tu na mikataba ya serikali kabisa.
Huku unaweza elekezwa mtu anayeuza na bei zao huwa ni laki 3/5
 
Back
Top Bottom