pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Anajitafutia laana bureee huyu!
Ila binadamu bwana, so nyinyi mnateseka kweli kuona mkuu anataka kuzaa na shombe shombe. Nani Aliwaambia itakuwa ni laana ukizaa na shombe shombe.Wewe ndo unaosema hivyo kwamba ni sawa kuchagua yoyote, lkn huyo shombe shombe unayemtafuta hatokuona hivyo kwani wewe kwake ni daraja la chini, na anatafuta shombe shome mwenzake na siyo wewe, sasa kwanini ukubali Binadamu mwingine akushushe hivyo?
Mungu hakukuumba ili uwe dhaifu, bali alikuumba ujithamini na kujipenda, na siyo kutaka kuwepo mahali ambapo hautakiwi, hiyo ni dhambi!
SHAME ON YOU