Natafuta simu nzuri ya picha

Natafuta simu nzuri ya picha

Spart 8 camera yake ni ya kawaida sana haiwezi kukidhi haja yake
Kulingana na bajeti Yake hiyo naona atakuwa na software nzuri pia .. Kama bajeti Yake ingekuwa 300+ options nzuri ni nyingi
 
Habari jf members,

Naomba kuuliza simu gani nzuri zaidi kwa picha nataka ninunue matumizi ni kupiga picha za biashara, budget 150,000 mpaka 250,000. I prefer used phones.

Internal iwe kuanzia 64+.
Hakuna simu nzuri kwa hiyo bei mkuu! Hapo unatafuta tecno au infinix 😂😂😂😂😂
 
Hakuna simu nzuri kwa hiyo bei mkuu! Hapo unatafuta tecno au infinix [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha masihara[emoji1] mzee mbona wameniambia pixel 3 series nzuri kwa picha, mimi shida yangu iwe inapiga tu picha quality simu ya matumizi mengine ninayo
 
Nachosikitika ni kwamba bado unahangaika kusikiliza maoni ya watu badala ya kuMka uwahi kununua pixel nimekuambia tafuta google pixel 3xl hata 4 achana na watu wanakuambia samsung samsung ya maana ya kuichapa google pixel haiwezi kuuzwa laki mbili ishi kwenye pixel usibadilishe mawazo kama shida yako ni camera ila kama shida yako ni jina la simu uvimbe nenda huko samsung ya laki mbili na nusu ila usije kuja kuazisha uzi hapa simu inasumbua
 
Mkuu noted tayar, hawa wengine wanachangamsha jamvi tu.
 
Attachments

  • 20240917_094712.jpg
    20240917_094712.jpg
    3.4 MB · Views: 6
Google pixel 4 nzuri kwa Dar es salaam inapatikana kwa 350,000 ni nzuri kwa picha, chini ya hapo ngumu sana Dogo, jiongeze kidogo taratibu utafikia malengo!
 
SAwa sawa mkuuu , ntaenda kuchek kati ya pixel 3xl na 4.
 
Habari JF members,

Naomba kuuliza simu gani nzuri zaidi kwa picha nataka ninunue matumizi ni kupiga picha za biashara, budget 150,000 mpaka 250,000. I prefer used phones.

Internal iwe kuanzia 64+.
Sharp Aquos R6, FB naziona hadi 150K na kuna mdau humu alisema kanunua 250K Extrovert

Camera sensor yake ni inch 1, sensor kubwa zaidi kuwekwa kwenye simu. Pengine kwa hii budget huwezi pata camera phone nzuri zaidi ya hii.

Pengine ukahitaji cooler mkuu, kwa sababu uzoefu wangu simu za sd 888 zinapata joto, kama una piga picha tu haina neno, ila kama unachukua na video inaweza kupata joto.
 
Back
Top Bottom