Natafuta simu nzuri ya picha

Natafuta simu nzuri ya picha

Sharp Aquos R6, FB naziona hadi 150K na kuna mdau humu alisema kanunua 250K Extrovert

Camera sensor yake ni inch 1, sensor kubwa zaidi kuwekwa kwenye simu. Pengine kwa hii budget huwezi pata camera phone nzuri zaidi ya hii.

Pengine ukahitaji cooler mkuu, kwa sababu uzoefu wangu simu za sd 888 zinapata joto, kama una piga picha tu haina neno, ila kama unachukua na video inaweza kupata joto.

Shukrani mkuu, matumizi ni yote yote picha na video, ila budget inaweza kuongezeka japo before nilifikiria hyo limit,

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa usalama wako na wote wanaonisoma usije ukanunua simu iliyotumika.
Utanunua kesi ya mauaji kutoka kwenye simu ya wizi.
Trust me, Kuna mtu anakuuzia simu ya ndugu yake then wanatoa ripoti feki kwa polisi wa michongo kwamba hiyo simu imeibiwa. Kuja kujitoa kwenye hiyo kesi feki zitakua zimekutoka pesa nyingi tu. Kwa ninyi wagogo Hadi ukauze ng'ombe.
 
Sharp Aquos R6, FB naziona hadi 150K na kuna mdau humu alisema kanunua 250K Extrovert

Camera sensor yake ni inch 1, sensor kubwa zaidi kuwekwa kwenye simu. Pengine kwa hii budget huwezi pata camera phone nzuri zaidi ya hii.

Pengine ukahitaji cooler mkuu, kwa sababu uzoefu wangu simu za sd 888 zinapata joto, kama una piga picha tu haina neno, ila kama unachukua na video inaweza kupata joto.
Ofcourse in heat na ndio sababu haikai na umeme on heavy usage sema uzuri wa simu za kijapan specs wise zinakuwa ahead of time. Nikiangalia specs za hii zero6 na iPhone iliotangazwa juzi ile i've really got a bang for the buck. Sahizi ndio Iphone wanaanza kuuziwa device za 8GB Ram wakati za android zilikuwepo tayari miaka 3 nyuma
 
Hatimaye nimejikaza nimechukua pixel 6 plain kwa 460k, naiona ipo vizuri kwenye camera.
1000000431.jpg
1000000431.jpg
 
Back
Top Bottom