Natafuta simu nzuri ya picha


Shukrani mkuu, matumizi ni yote yote picha na video, ila budget inaweza kuongezeka japo before nilifikiria hyo limit,

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa usalama wako na wote wanaonisoma usije ukanunua simu iliyotumika.
Utanunua kesi ya mauaji kutoka kwenye simu ya wizi.
Trust me, Kuna mtu anakuuzia simu ya ndugu yake then wanatoa ripoti feki kwa polisi wa michongo kwamba hiyo simu imeibiwa. Kuja kujitoa kwenye hiyo kesi feki zitakua zimekutoka pesa nyingi tu. Kwa ninyi wagogo Hadi ukauze ng'ombe.
 
Ofcourse in heat na ndio sababu haikai na umeme on heavy usage sema uzuri wa simu za kijapan specs wise zinakuwa ahead of time. Nikiangalia specs za hii zero6 na iPhone iliotangazwa juzi ile i've really got a bang for the buck. Sahizi ndio Iphone wanaanza kuuziwa device za 8GB Ram wakati za android zilikuwepo tayari miaka 3 nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…