Mbona hajaandika popote kuwa anatafuta mke?Unautafuta mke alafu unaandika kama unatafuta mchepuko...
Andika vizuri ueleweke
Unautafuta mke alafu unaandika kama unatafuta mchepuko...
Andika vizuri ueleweke
Mimi nilizaa nao wakawa single maza. Nikutumie namba zao uoe mmoja?Kama kisemavyo kichwa cha habari Awe ana-ishi dar ambaye yuko tayari anakaribishwa