Huku JF ukileta mada inayohusiana na bidhaa za kuuza usijibu kwa hasira kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake wewe unakasirika kuambiwa bei ni kubwa kwan kuna ubaya kuambiwa bei ni kubwa au? ni wewe kuchukua jukumu la kusema biashara hii kwingi hailipi, unawaambia watu "kama unaona haifai pita huku" wewe sio mfanya biashara maana yake una dalalia kitu ambacho hukutegemea kujibiwa hivyo. kama unafanya biashara uwe mpole sikiliza maoni ya watu na wakisema bei kubwa waulize huko kwenu inaweza ikauzwaje pia uwasikilize usilipuke rafiki sawa.