Natafuta soko la Limao nipo Morogoro

Natafuta soko la Limao nipo Morogoro

Mkuu ndo maana nlisema maneno haya mwanzo “Kama wewe huko ulipo bei inalipa basi tushirikiane”.

Kwaiyo kama huko ulipo bei hiyo hailipi basi pita mbali.....
Huku JF ukileta mada inayohusiana na bidhaa za kuuza usijibu kwa hasira kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake wewe unakasirika kuambiwa bei ni kubwa kwan kuna ubaya kuambiwa bei ni kubwa au? ni wewe kuchukua jukumu la kusema biashara hii kwingi hailipi, unawaambia watu "kama unaona haifai pita huku" wewe sio mfanya biashara maana yake una dalalia kitu ambacho hukutegemea kujibiwa hivyo. kama unafanya biashara uwe mpole sikiliza maoni ya watu na wakisema bei kubwa waulize huko kwenu inaweza ikauzwaje pia uwasikilize usilipuke rafiki sawa.
 
Tafuta mtu wa Arusha wanatumia sana malimao na pia uwalegezee bei kidogo ili na wao wakimbize kwa soko la Arusha soko kuu hayo unayopata ni machache utauza au uende mwenyewe na kiasi cha malimao uuze...
 
Kha huko bado yapo? Asee Lindi limao moja sh 300
 
Kabla hujatoa oni lako ktk uzi huu hakikisha umeelewa kilicho andikwa kwanza na mtoaji mada na sio kujitoa UFAHAMU.
 
Tafuta mtu wa Arusha wanatumia sana malimao na pia uwalegezee bei kidogo ili na wao wakimbize kwa soko la Arusha soko kuu hayo unayopata ni machache utauza au uende mwenyewe na kiasi cha malimao uuze...
Mkuu napenda sana kufanya ivo ila tatizo sina mtu wa kati (Refa).
 
Kilwa watu wengi sass wamehamia katika kilimo cha ndimu zinawalipa sana wanauza kiloba cha kg25 tsh 30-50elfu
 
Mkuu napenda sana kufanya ivo ila tatizo sina mtu wa kati (Refa).
Upo karibu sana na Arusha panda gari inayopitia Handeni hapo beba viroba vyako vichache sokoni ukifika na mzigo wako wa chakula utasoma siku hiyo hiyo nyumba za kulala wageni kawaida tuu acha woga take risk upate pesa...
 
Sawa mkuu, Ntatafuta mtu wa kule ili anijuze bei kwanza.
 
Back
Top Bottom