mwali wa giningi Member Joined Nov 14, 2013 Posts 67 Reaction score 42 Aug 31, 2023 #1 Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 790 Reaction score 2,079 Aug 31, 2023 #2 Weka bei.
Kangosha Member Joined Sep 18, 2023 Posts 52 Reaction score 135 Oct 27, 2023 #3 Ungeweka mawasiliano ili iwe rahisi kukupata. Maana PM naona hujibu