Natafuta soko la nyanya maji

Kitukwa boy

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
8
Reaction score
5
Habar Wana Jf,

Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo.

Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…