Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha...
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa sapoti mkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha...
Natanguliza shukrani.
View attachment 2774157
Una mzigo kiasi gani? Tuwasiliane tafadhaliNatafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha...
Natanguliza shukrani.
View attachment 2774157
Nakubali sana mshana wewe ni mzee wa mishehena
Tafuta mawasiliano na watu wa Mufindi/Mafinga. Oil chafu inahitajika sana huko kwenye shughuli za ukataji miti na upasuaji mbao kwa kutumia chain saw.Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha...
Natanguliza shukrani.
View attachment 2774157
Hahahahaa ukiwa jobless lazima ujiongezeNakubali sana mshana wewe ni mzee wa mishehena
Iwe ya
Plastics
Screpa
Chemical
Madini
Mbolea
Chochote kwa mshana kilete kiwe tu ni raw material chap anapiga simu moja mabibo, keko,,mbagala,ama buguruni
Shukrani mkuuTafuta mawasiliano na watu wa Mufindi/Mafinga. Oil chafu inahitajika sana huko kwenye shughuli za ukataji miti na upasuaji mbao kwa kutumia chain saw.
Unahitaji kiasi gani
Mzigo wowote ulionao nachukua wote nipe bei yakoUnahitaji kiasi gani
Lita moja sh. Ngapi
1,500/= kwa lita
Nadhani u mgeni kwenye hii biashara kwakuwa hiyo ni bei ya IDO tena pamoja na VAT1,500/= kwa lita
Nadhani u mgeni kwenye hii biashara kwakuwa hiyo ni bei ya IDO tena pamoja na VAT
Sent using Jamii Forums mobile app
Inacheza kulingana na misimu lakini haiwezi kuzidi 800Bei halisi ni ngapi kwa lita mkuu
Hivi kuna msimu oil chafu huwa nyingi eeeeh?
Unatoa ngapiNadhani u mgeni kwenye hii biashara kwakuwa hiyo ni bei ya IDO tena pamoja na VAT
Sent using Jamii Forums mobile app