Natafuta soko la oil chafu

Natafuta soko la oil chafu

Hembu tupe hayo maarifa kwenye hili japo basic zake tuzijue ni lini oil inakuwa nafuu na msimu wake na bei pia
Meli zinapomaliza kushusha mafuta yale mabaki ya mafuta yanaitwa slage huwa mengi sana mtaani.. Hapo oil chafu hushuka bei.. Mafuta yakiadimika nchini hata usafiri na usafirishaji hupungua kitu kinachopelekea uchache wa service na slage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vya uhakika vya oil chafu
Kampuni za usafiri na usafirishaji
Kampuni za ujenzi hasa miundombinu
Kampuni zinazoagiza mafuta na kuhifadhi mafuta kwenye matank makubwa
Tipper
Meli za mafuta
Makampuni mbalimbali yanayotumia magari makubwa na mitambo mikubwa na midogo
Makampuni ya uyafiti wa mafuta gesi nk
Hawa ndio huzalisha oil chafu kwa wingi na ili uweze kufanya nao kazi inabidi uwe na vibali vyote vya kukusanya kusafirisha na kureclycle taka vimimika toka Baraza la mazingira la taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom