Hembu tupe hayo maarifa kwenye hili japo basic zake tuzijue ni lini oil inakuwa nafuu na msimu wake na bei pia
Meli zinapomaliza kushusha mafuta yale mabaki ya mafuta yanaitwa slage huwa mengi sana mtaani.. Hapo oil chafu hushuka bei.. Mafuta yakiadimika nchini hata usafiri na usafirishaji hupungua kitu kinachopelekea uchache wa service na slageHembu tupe hayo maarifa kwenye hili japo basic zake tuzijue ni lini oil inakuwa nafuu na msimu wake na bei pia