Natafuta soulmate

Hahahahahaha unajua maaana ya soulmate mkuu maana naona soulmate anaweza akawa hata wa kiume
 
Endelea kutafuta , kama watu wanaokuzunguka na unaowaona umeshindwa pata huyo mate sembuse humu jf kwa watu ambao hata huwaoni
 
Kazi kweli kweli. Huyo naachana nae simlazimishi. Kutakana ndo mpango!
Hahaha tatizo siku izi mnaona kila majukumu mnayaweza, mwishowe mnaishia kulalamika[emoji40]
Mahusiano mengi yaliyotafutwa na jinsia ke, mwisho wake huwapa maumivi yaliyotukuka[emoji40]
Anyway mkipatana unishtue vinywaji vyote juu yangu[emoji12]
 
Teh...labda upo sahihi. Mi sitafuti wa kufatanafatana nae. Nishapita hiyo age! Mi starehe tu!
 
You may be looking for a thing that never exists, human being is mortal, how comes you are looking for person that lives forever?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…