Natafuta soulmate

Natafuta soulmate

Hahahahahaha unajua maaana ya soulmate mkuu maana naona soulmate anaweza akawa hata wa kiume
 
Endelea kutafuta , kama watu wanaokuzunguka na unaowaona umeshindwa pata huyo mate sembuse humu jf kwa watu ambao hata huwaoni
 
Kazi kweli kweli. Huyo naachana nae simlazimishi. Kutakana ndo mpango!
Hahaha tatizo siku izi mnaona kila majukumu mnayaweza, mwishowe mnaishia kulalamika[emoji40]
Mahusiano mengi yaliyotafutwa na jinsia ke, mwisho wake huwapa maumivi yaliyotukuka[emoji40]
Anyway mkipatana unishtue vinywaji vyote juu yangu[emoji12]
 
Hahaha tatizo siku izi mnaona kila majukumu mnayaweza, mwishowe mnaishia kulalamika[emoji40]
Mahusiano mengi yaliyotafutwa na jinsia ke, mwisho wake huwapa maumivi yaliyotukuka[emoji40]
Anyway mkipatana unishtue vinywaji vyote juu yangu[emoji12]

Teh...labda upo sahihi. Mi sitafuti wa kufatanafatana nae. Nishapita hiyo age! Mi starehe tu!
 
Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta ambaye even her eyes closed but her heart still open. Vigezo no kuanzia maji ya kunde in nature, asitumie mkorogo, umri kuanzia miaka 22 mpaka 33, elimu kuanzia form four na kuendelea, dini muislamu, awe na real love, a kind of love no matter what happen but we can be forever. Only a serious girl are welcome.
Thanks for understand kkwa taarifa zaidi au ufafanuzi wa ziada p.m
You may be looking for a thing that never exists, human being is mortal, how comes you are looking for person that lives forever?
 
Back
Top Bottom