Natafuta soulmate

Natafuta soulmate

Bakariforever

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
510
Reaction score
511
Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta ambaye even her eyes closed but her heart still open. Vigezo no kuanzia maji ya kunde in nature, asitumie mkorogo, umri kuanzia miaka 22 mpaka 33, elimu kuanzia form four na kuendelea, dini muislamu, awe na real love, a kind of love no matter what happen but we can be forever. Only a serious girl are welcome.
Thanks for understand kkwa taarifa zaidi au ufafanuzi wa ziada p.m
 
Nahisi kama vile muanzisha uzi mwenye post #1 na mchangiaji mwenye post #2 ni Sheikh yule yule ila tofauti ni ' Kanzu ' tu. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Nahisi kama vile muanzisha uzi mwenye post #1 na mchangiaji mwenye post #2 ni Sheikh yule yule ila tofauti ni ' Kanzu ' tu. Naomba niishie hapa tafadhali.
hahaha kwahyo mie 'me'!haya mkuu !nisije haribu ijumaa yangu bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ni watu wawili tofauti kabisa na wasiofahamiana
 
achana naye huyo sometime anajitoa ufahamu !namheshim na sitamjibu vby !usijal kaka we endelea na yako mie mwanamke halisia !sijui kipi kimemfanya ahisi mie ni wewe !mxiew

Mimi sikuheshimu tu bali ' nakupenda ' mno Dada na nitafurahi sana kama siku moja Mimi na Wewe tutakuwa na mechi yetu ' Kabambe ' ya Kibaiolojia ndani ya Uwanja wowote wa ndani utakaoupendekeza Wewe. Maandishi yako tu yanaonyesha Wewe ni Chocolate na siyo Muarobaini.
 
sema wewe lini na iwe wapi !hahaha uje ufute kauli yako !
 
Ila utaweza kuvumilia lakini Dada? Manake kuna wengine tuna ' Mikuyenge ' Dar to Kigoma!
 
Back
Top Bottom