Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

Tatizo inatakiwa ifungwe kwa kompyuta hio! Fundi gonga gonga watakuletea xmas tree usijue nini tatizo kumbe wamezigonga sensa za nati na nyundo😂😂😂

Maana hio gari kwa sensa inalizidi hata taifa letu 😅
 
Tatizo inatakiwa ifungwe kwa kompyuta hio! Fundi gonga gonga watakuletea xmas tree usijue nini tatizo kumbe wamezigonga sensa za nati na nyundo😂😂😂

Maana hio gari kwa sensa inalizidi hata taifa letu 😅
Christmas tree😁😁 yani makorokocho kama yote
 
Hahaha.
X3 kama ni hizi za miaka ya 2007 kurudi nyuma zishakuwa kama rav 4 kilitime tu. Kina fundi Massawe wanazijua.
BMW haiwez kujuliwa na akina fundi masawe ile ni very senstive sana haihitaji elimu ya darea la vii na kugonga nyundo inahitaji MECHANIC ENGEER ,aliyesoma acha kuwadanganya waru waharibiwe magari ,gari za ulaya sio toyo kila fundi anajifunzia zina smart inteligency...
 
Tatizo inatakiwa ifungwe kwa kompyuta hio! Fundi gonga gonga watakuletea xmas tree usijue nini tatizo kumbe wamezigonga sensa za nati na nyundo[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana hio gari kwa sensa inalizidi hata taifa letu [emoji28]
Gari ina sensa zaidi ya usalama wa taifa hapo ndio napompenda mzungu
 
Back
Top Bottom