fungafunga
Senior Member
- Mar 30, 2010
- 116
- 155
Wadau,
Wapi ntapata fundi mzuri wa BMW X3.
Nataka kubadili shockups
Wapi ntapata fundi mzuri wa BMW X3.
Nataka kubadili shockups
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Nairobi mkuu. Hiyo gari itakutesa na itafia kwako bila uoga.Wadau.
Wapi ntapata fundi mzuri wa BMW X3.
Nataka kubadili shockupsnda
Hahaha.Nenda Nairobi mkuu. Hiyo gari itakutesa na itafia kwako bila uoga.
Shockup up aende Nairobi?Nenda Nairobi mkuu. Hiyo gari itakutesa na itafia kwako bila uoga.
Shukrani sana Boss japo mimi nimebase kwenye umeme.Upo Dar au? Wapo wengi. Kwa humu JituMirabaMinne otherwise mwingine ukitaka PM nitakupa number.
Nadhani jamaa hata haelewi ameshauri kitu gani..Shockup up aende Nairobi?
Nenda Nairobi mkuu. Hiyo gari itakutesa na itafia kwako bila uoga.
Upo Dar au? Wapo wengi. Kwa humu JituMirabaMinne otherwise mwingine ukitaka PM nitakupa number.
Christmas tree😁😁 yani makorokocho kama yoteTatizo inatakiwa ifungwe kwa kompyuta hio! Fundi gonga gonga watakuletea xmas tree usijue nini tatizo kumbe wamezigonga sensa za nati na nyundo😂😂😂
Maana hio gari kwa sensa inalizidi hata taifa letu 😅
Mzigo unasoma kuanzia abs mpaka taa za tyre pressure sensorChristmas tree😁😁 yani makorokocho kama yote
Hata brack disc zake utaenda nairobiShockup up aende Nairobi?
Ulidanganywa na Nani?Hata brack disc zake utaenda nairobi
Kuwa mpole yatakukutaUlidanganywa na Nani?
BMW haiwez kujuliwa na akina fundi masawe ile ni very senstive sana haihitaji elimu ya darea la vii na kugonga nyundo inahitaji MECHANIC ENGEER ,aliyesoma acha kuwadanganya waru waharibiwe magari ,gari za ulaya sio toyo kila fundi anajifunzia zina smart inteligency...Hahaha.
X3 kama ni hizi za miaka ya 2007 kurudi nyuma zishakuwa kama rav 4 kilitime tu. Kina fundi Massawe wanazijua.
Gari ina sensa zaidi ya usalama wa taifa hapo ndio napompenda mzunguTatizo inatakiwa ifungwe kwa kompyuta hio! Fundi gonga gonga watakuletea xmas tree usijue nini tatizo kumbe wamezigonga sensa za nati na nyundo[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana hio gari kwa sensa inalizidi hata taifa letu [emoji28]
Hahahhahahah sensa ziko kila kona yani😅 mpaka kwenye wipers😀Gari ina sensa zaidi ya usalama wa taifa hapo ndio napompenda mzungu