Bora ulivyosema dhumuni maana nilishawaza hapa kwamba mtatuuaHabari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
Hili dili sasa limenidondokea ,wacha kesho nizibebe hapa job .Habari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
Taa gan hiyo na linaathiri nni mpaka limwage fedha?Halafu Kuna zile taa ziko kule chumba cha kufanyia operation.....
Kuna taa mojawapo ukiipata ukamulika lile dude la wachina aisee mchina lazima alie atamwaga hela zote!!!!
Kesho mimi na mitaa minne natoka nayo OT safari manzeseHalafu Kuna zile taa ziko kule chumba cha kufanyia operation.....
Kuna taa mojawapo ukiipata ukamulika lile dude la wachina aisee mchina lazima alie atamwaga hela zote!!!!
Mkuu embu njoo vizuri tena sijaelewa dada ,tunaweza kufanya jamboHalafu Kuna zile taa ziko kule chumba cha kufanyia operation.....
Kuna taa mojawapo ukiipata ukamulika lile dude la wachina aisee mchina lazima alie atamwaga hela zote!!!!
15,000 mpaka 45,000 wewe tuKwani Phamacy zinauzwaje?
Tumia akili halafu mwenzio nimelewaTaa gan hiyo na linaathiri nni mpaka limwage fedha?
Halafu wewe!!! Subiri nifanye utafitiMkuu embu njoo vizuri tena sijaelewa dada ,tunaweza kufanya jambo
Haya bwana usitoke kizembe.,.....Kesho mimi na mitaa minne natoka nayo OT safari manzese
Hilo taa lilitoka mhumbili hukoo...... Yani ni mwendo wa kumulika mchina analewa...Taa gan hiyo na linaathiri nni mpaka limwage fedha?
Halafu wewe ni dakitaree eenh!!! Ntakutafuta unitibuMkuu embu njoo vizuri tena sijaelewa dada ,tunaweza kufanya jambo
Ninayo bei 200000 chap kwa harakaHabari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
View attachment 3335004
600kKwani Phamacy zinauzwaje?
Pumbavu mkubwaTumia akili halafu mwenzio nimelewa
Hilo tusi ni nn?? Tumia akili yako matusi hayasaidii chochote na sijakulazimisha Kuni quote.Pumbavu mkubwa
Kumbe tunachat na mlevi
Sijaona sababu ya kunitukana matusi sipendi... Na ndio huo ujuaji wenu mnakosa vingi. Ignore list inakufaa kuanzia sasaPumbavu mkubwa
Kumbe tunachat na mlevi