Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,497
Aje afuate hapo buchani au sio 😁😁😁Koti jeupe vipi hutaki?
Aje afuate hapo buchani au sio 😁😁😁Koti jeupe vipi hutaki?
Nyinyi Bongo Muvi ndiyo maana muvi zenu nyingi huwa wanaangalia wadada wa kazi tu na mama wa nyumbani! Kwa nini mnsifanyie hilo igizo lenu kwenye hospitali halisi na iliyo na hivyo vifaa vyote, na vinavyofanya kazi?Habari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
View attachment 3335004
Mbona kwa elfu kumi na Tano unaipata mpya dukaniHabari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
View attachment 3335004
Karibu dadaHalafu wewe ni dakitaree eenh!!! Ntakutafuta unitibu
Bongo muvi wengi ni makalio..Nyinyi Bongo Muvi ndiyo maana muvi zenu nyingi huwa wanaangalia wadada wa kazi tu na mama wa nyumbani! Kwa nini mnsifanyie hilo igizo lenu kwenye hospitali halisi na iliyo na hivyo vifaa vyote, na vinavyofanya kazi?
Nilifikiri mlitakiwa pia muwaone wataalam kabla ili muwe na utaalam wa kutumia hicho kifaaa, badala ya muendelezo wenu ule ule wa kuigiza mambo ya uongo kwenye muvi zenu nyingi!
Mmekopeshwa fedha nyingi na serikali! Kwa hiyo ni vizuri mkabadilika kupitia hiyo mikopo! Na siyo kuendelea kuishi kwa mazoea.
Mbona kwa elfu kumi na Tano unaipwatsla mpya dukani
Haramu hiyoHilo taa lilitoka mhumbili hukoo...... Yani ni mwendo wa kumulika mchina analewa...
Mtaani linauzwa hospitali wanauza si unajua njaa. Tafuta
Haramu lakini inatumika sana tu!!Haramu hiyo
Utanitag kwenye huo uziHaramu lakini inatumika sana tu!!
Ipo siku ntaanzisha Uzi niwatag ma job less wa jf niwafundishe namna ya kutumia na Uzi utakaa sekunde ishirini madogo wakajqribu bahati....
PoaUtanitag kwenye huo uzi
Hahahahaha 😅😅🤣 kijana hajawahi kuwa serious kabisaaaTumia earphones