Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

Nyinyi Bongo Muvi ndiyo maana muvi zenu nyingi huwa wanaangalia wadada wa kazi tu na mama wa nyumbani! Kwa nini mnsifanyie hilo igizo lenu kwenye hospitali halisi na iliyo na hivyo vifaa vyote, na vinavyofanya kazi?

Nilifikiri mlitakiwa pia muwaone wataalam kabla ili muwe na utaalam wa kutumia hicho kifaaa, badala ya muendelezo wenu ule ule wa kuigiza mambo ya uongo kwenye muvi zenu nyingi!

Mmekopeshwa fedha nyingi na serikali! Kwa hiyo ni vizuri mkabadilika kupitia hiyo mikopo! Na siyo kuendelea kuishi kwa mazoea.
 
Mbona kwa elfu kumi na Tano unaipata mpya dukani
 
Bongo muvi wengi ni makalio..
Wanashindwa kuwaondoa watu uneducated kuleta vijana skilled na hayo.mambo kutwa wanatuletea movi za *******..

Mara penzi la mliznzi na house boy
Sijui nyoka dada wa kazi....maninaaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…