Natafuta stori nzuri ya kusoma humu JF

Natafuta stori nzuri ya kusoma humu JF

Brother mkubwa Analyse kama itakupendeza "NAKUOMBA" uziweke kwenye mfumo mzuri wa pdf ili kuwe na urahisi wa kusoma hata pale mtu anapokuwa mbali na internet


By the way unajua sanaa pokea maua yako kabla sijala ban
Shukrani mkuu. Nimekusoma, nitalifanyia kazi.
 
Habari za asubuhi wanajukwaa.

Mimi nimpenzi wa kusoma story,Naombeni msaada kwenu natafuta story ya kusoma humu JF weekend hii. kiufupi sina appointment yoyote na nilitegemea waandishi wangu wangeleta miendelezo lakini naona majukumu yamewabana kidogo. Naombeni msaada wenu.

wasalam
Pita hapa...

 
Pita hapa...

mkuu hizi series zote nishazipita tayari toka last year....
 
Back
Top Bottom