Natafuta stori nzuri ya kusoma humu JF

Natafuta stori nzuri ya kusoma humu JF

Brother mkubwa Analyse kama itakupendeza "NAKUOMBA" uziweke kwenye mfumo mzuri wa pdf ili kuwe na urahisi wa kusoma hata pale mtu anapokuwa mbali na internet


By the way unajua sanaa pokea maua yako kabla sijala ban
Hii ni sawa na kuweka Chai kwenye Chupa ili unywe hata kesho yake.
 
Wakuu jaman nahisi nimemaliza story zote za humu JF
 
Muuaji mwenye kofia nyekundu (RED CAPE KILLER) By Attelan
Sema muandishi mwenyewe anazingua.
 
Back
Top Bottom