machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Paka ni wazuri wakipata mtu anayewapenda wanakua mashetani wakikosa chakula na kuzaagaa mtaani
Nilipoanza vita nao ni baada ya kula ndege zangu kuku na njiwa!
Nilikua nikiua na sumu naacha mzoga hapo wakija usiku wanaogopa
Rafiki mzuri ni mbwa hawezi kukusaliti kamwe!
Mpe chakula ashibe mtaishi kwa upendo