- Thread starter
- #41
Hiyo manati ya Mchina nimeagiza hawaileti!Nunua manati mkuu hutojuta ngeee jiwe moja tu chali. Kuna manati ya mchina hiyo haikosei shabaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo manati ya Mchina nimeagiza hawaileti!Nunua manati mkuu hutojuta ngeee jiwe moja tu chali. Kuna manati ya mchina hiyo haikosei shabaha
Shukrani sana, nitafanya hivyo kesho!story fupi...nyumbani mzee alikuwa amebuni mtego wa kushikia wanyama pori wanaitwa kipopori miaka ya nyuma ulikuwa unazimwa kijiji kizima mpaka wakaisha ama kupungua kabisa....nikaanza ufugaji mkoa nje ya center aisee yule kicheche alikuwa anaruka ukuta na paka walikuwa wananitesa kinoma nikaukumbuka ule mtego....niliwamaliza nimeskech unavyotakiwa kuwa ukishindwa..utanicheki nikiwa home asubuhi nikupigie picha....utanishukuru baadae lazima umkamate na picha uje uweke hapa....0755641168 kicheche nilimwekea mshikaki akanasa paka alinaswa kwa samaki...
Hiyo ni hasara kubwa aisee, mimi aliwahi kula karibu kuku 7 kwa nyakati tofauti. Alikuwa anavizia usiku. Nikajaribu kila namna nimuue ikashindikana, alikuwa na hisia kali kweli siku unampangia mikakati siku hiyo aonekani. Anakushtukiza tu siku umejisahau anakupa hasara, nikatega sumu ikashindikana, nikaweka kitanzi sikumpata.Kwangu ameua kuku 35 alfajiri na bahati nzuri nilimuwahi angeua wote 80!
Tafadhali naomba picha ya mtego.story fupi...nyumbani mzee alikuwa amebuni mtego wa kushikia wanyama pori wanaitwa kipopori miaka ya nyuma ulikuwa unazimwa kijiji kizima mpaka wakaisha ama kupungua kabisa....nikaanza ufugaji mkoa nje ya center aisee yule kicheche alikuwa anaruka ukuta na paka walikuwa wananitesa kinoma nikaukumbuka ule mtego....niliwamaliza nimeskech unavyotakiwa kuwa ukishindwa..utanicheki nikiwa home asubuhi nikupigie picha....utanishukuru baadae lazima umkamate na picha uje uweke hapa.... kicheche nilimwekea mshikaki akanasa paka alinaswa kwa samaki...
Shukrani sana, nitafanya hivyo kesho!
niliandaa video ndogo ila hapa imekataa kuupload cheki hio no labda kwa whatsaapTafadhali naomba picha ya mtego.
Paka kwa asili yake, kamwe halagi mizoga hata siku moja.Chinja kuku mmoja,, mpakaze sumu kisha tegesha aje amle
Samaki anakula!Paka kwa asili yake, kamwe halagi mizoga hata siku moja.
Ndio. Ila sio mzoga wa kuku au mnyama....Samaki anakula!
Agiza aliexpressHiyo manati ya Mchina nimeagiza hawaileti!
Unashangaa nini!
Watu kama wewe Huwa naishia kuwashusha chini kabisa ukute nawewe unafamilia na unategemea kabisa? Haya tuambie wewe aliyekuambia paka hafi Kwa Sumu ni nani?nanikakuambia paka anakufa kwasumu?usifananishe paka nambwa au panya
Naomba jina la sumu kama unaifahamu.Watu kama wewe Huwa naishia kuwashusha chini kabisa ukute nawewe unafamilia na unategemea kabisa? Haya tuambie wewe aliyekuambia paka hafi Kwa Sumu ni nani?
Hapa ninapofanyia kazi paka wametehwa Sumu wamekufa kama hawana wazazi Bahati nzuri mi Huwa nafanya kazi eneo walilotegwa ilibidi nihakikishe kabisa.. walikuwa wakila chakula walichowekewa hiyo Sumu kabla hata hajakimaliza ananza kuruka ruka juu akitua mazima hatingishi hata mkia!
Mkuu usichokijua nyamaza kabisa kama haupo sio kuleta maneno ya kwenye kahawa utaonekana boya Fulani tu.