machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Kwa paka jike sawa lakini kwa paka dume ni tatizo, hafugiki!Paka ni wazuri wakipata mtu anayewapenda wanakua mashetani wakikosa chakula na kuzaagaa mtaani
Nilipoanza vita nao ni baada ya kula ndege zangu kuku na njiwa!
Nilikua nikiua na sumu naacha mzoga hapo wakija usiku wanaogopa
Rafiki mzuri ni mbwa hawezi kukusaliti kamwe!
Mpe chakula ashibe mtaishi kwa upendo
Siyo paka wangu anatoka nje!😁😁😁😁ngoja tumchomeshe akimuona ndani ajifungie nae Ili ampige🤣🤣
Anatakiwa avae helmet ya pikipiki na Makoti ya madereva bodaboda akazie na gloves ngumu kichwani awe tungi ndio apigane nae😁😁😁😁ngoja tumchomeshe akimuona ndani ajifungie nae Ili ampige🤣🤣
Nilishafanya hivyo, japo nilipakaa kwa samaki. Ajabu samaki sikumkuta na yule paka hakufa.Chinja kuku mmoja,, mpakaze sumu kisha tegesha aje amle
Mwizi wa kuku!View attachment 2854459
Mbona mzuri hivi 😂
Nilionaga picha GSM kapiga naye picha nadhani alikuwa South Africa. Pole sana MkuuMwizi wa kuku!
Wanakufa, kuna paka alikula panya aliyekuwa kafa kwa sumu naye akafaPaka hafi kwa sumu?
Mkuuu usiue hao Wanyama pori ni hazina kwa Taifa, ukiona wanasumbua wajulishe TAWA watakupa msaada. PoleHuku lindi kuna dawa inaitwa temico, wao wanadai inaua mara saba, nimeua sana Bweha, mbwa , mbwa mwitu na paka wezi
Mkuu wanavamia makazi ya watu,kuku hawafugikiMkuuu usiue hao Wanyama pori ni hazina kwa Taifa, ukiona wanasumbua wajulishe TAWA watakupa msaada. Pole
Nikishawahi kuweka sumu na akafananikakuambia paka anakufa kwasumu?usifananishe paka nambwa au panya
We jomba hayajawahi kukukuta mzee baba hata Kuna baadhi watu wanasema paka ni watu unaweza aminiMkuuu usiue hao Wanyama pori ni hazina kwa Taifa, ukiona wanasumbua wajulishe TAWA watakupa msaada. Pole
Wanamkamata na kukulipa fidia piaWe jomba hayajawahi kukukuta mzee baba hata Kuna baadhi watu wanasema paka ni watu unaweza amini
Just imagine anaingia kwenye Banda la kuku badala aue hata kuku Moja ale kistaarabu ananyonga wote na Ali hata mmoja
Anakuvizia wakati umelala unakuja asubuhi kazi yako ni kuzoa mizoga
Unakuta hao kuku ndio unakusanya mayai uuze watoto wale
Hao Tawa watakusaidia Nini mkuu?
Hapa bongo siyo?Wanamkamata na kukulipa fidia pia
Kwangu ameua kuku 35 alfajiri na bahati nzuri nilimuwahi angeua wote 80!We jomba hayajawahi kukukuta mzee baba hata Kuna baadhi watu wanasema paka ni watu unaweza amini
Just imagine anaingia kwenye Banda la kuku badala aue hata kuku Moja ale kistaarabu ananyonga wote na Ali hata mmoja
Anakuvizia wakati umelala unakuja asubuhi kazi yako ni kuzoa mizoga
Unakuta hao kuku ndio unakusanya mayai uuze watoto wale
Hao Tawa watakusaidia Nini mkuu?
Nunua manati mkuu hutojuta ngeee jiwe moja tu chali. Kuna manati ya mchina hiyo haikosei shabahaKuna paka ananitia hasara ya kula kuku na bata, kila nikimvizia kwa lengo la kumuua nashindwa.
Je nitumie sumu au mtego gani ili afe?