Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goodsize
naomba tushauriane hapa pia pamoja na wadau wengine
hivi nikinunua refrigirated truck (scania freezer body) yenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 15 nikaanzisha biashara ya transportation ya samaki kutoka mwanza inaweza kuwa na faida
muhimu hapa ni kwamba mzigo wa samaki utafika siku hiyo hiyo na pia samaki watafika katika hali ya ubaridi unaotakiwa, hivyo wale suppliers wote wa samaki nitakuwa nawapakilia samaki zao kutoka mwanza na mikoa mingine (eg.singida dodoma,morogoro etc),
changamoto kubwa hapa ni hii, je truck itapakia mzigo gani kwenda mwanza kwani kwenda tupu ni gharama za bure, kumbuka hii body ni refrigirated
mkuu LAT kuna 93/250 freezer body LHD 6x2, inauzwa Eur 5000 na kuisafirisha itakuwa around humo humo, sijakupandishia bei sababu kuna vitu naweza kudandia kupakia.
hiyo biashara inaweza ikawa inalipa na siyo samaki tu unaweza kupakia hata maziwa ya tanga fresh,kutoa kule kuleta Dar
Goodsize
naomba tushauriane hapa pia pamoja na wadau wengine
hivi nikinunua refrigirated truck (scania freezer body) yenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 15 nikaanzisha biashara ya transportation ya samaki kutoka mwanza inaweza kuwa na faida
muhimu hapa ni kwamba mzigo wa samaki utafika siku hiyo hiyo na pia samaki watafika katika hali ya ubaridi unaotakiwa, hivyo wale suppliers wote wa samaki nitakuwa nawapakilia samaki zao kutoka mwanza na mikoa mingine (eg.singida dodoma,morogoro etc),
changamoto kubwa hapa ni hii, je truck itapakia mzigo gani kwenda mwanza kwani kwenda tupu ni gharama za bure, kumbuka hii body ni refrigirated
Si lazima uwashe freezer kurudi Mwanza kwa hiyo unaweza kupakia light weighted goods kama vitu vya madukani. Wasi wasi wangu haya magari mtumba hayakawii kuzimika sasa hizo tani 15 za samaki (sawa na samaki 30,000 times shs 2,000!)
yes i agree with you,hii ni changamoto pia, to the other side proper automobile service and ontime emergency call should be in place!!
mkuu bei ya samaki especially sato ni TZS 5,000 or so per kg,
naweza kuwa na mizani pale mwanza kwa ajili ya kupimia fish loads, kutakuwa na plastic cans za uwezo wa 100kg each, but all fish foods should be packed on plastic bags /viroba then stored on cans and then loaded on the truck
kila kilo moja nita-charge tsh 200 as transportation charge (tsh 200 per kg), loading and unloading will be inclusive
View attachment 45792View attachment 45791View attachment 45793View attachment 45794View attachment 45795
Mkuu LAT ya RHD kupata scania kwa bei hiyo issue, hiyo ya Poland
mkuu, hii ni 1980's model, right, je scania mayai,refrigirated body RHD, 1998-2003, good condition yaweza kuwa bei gani? tupo pamoja
exactly, hii ni tani ngapi mkuu, in tanzania tax will only be VAT 18% and port chargez
i think this can be something to react soon
@ Zion Train nimekusoma mkuu, ideally kwa biashara hii inahitaji usiwe bahiri wa kutafuta truckbei ya chini kwani unahitaji truck iliyo kwenye very good condition
exactly, hii ni tani ngapi mkuu, in tanzania tax will only be VAT 18% and port chargez
i think this can be something to react soon
@ Zion Train nimekusoma mkuu, ideally kwa biashara hii inahitaji usiwe bahiri wa kutafuta truck ya bei ya chini kwani unahitaji truck iliyo kwenye very good condition ili hata wateja wakiiona wanajua mizigo yao itafia bila usumbufu
Hii inabeba mpaka 20,000kgs
mkuu ukinunua usinisahau tu ukaiacha ije tupu, kuna kitu naweza pakia. tunabebana mkuu hahahaha
hii inafaa sana mkuu, let me check on Return on Investment (ROI)
hapa nina maswali machache yanayohitaji real experiece on the ground
je? kwa bei ya Tsh 200 per kg, wateja watamudu compared to usafiri mwingine wa mafuso
je? supply ya samaki wa mwanza ni approximate tani ngapi kwa wiki let say mkoa wa DSM na Morogoro
je? wateja haswa wanaosafirisha ni nani, suppliers wa samaki walio mwanza au wholesalers wa samaki waliopo dar au mwanza
hapa nitaweza kuhakikisha kuwa hii biashara itapata wateja, costs zingine up to profit margin i am very confortable if transportation charge remains Tsh 200 per kg
Inakubidi uwe na cold room ya kuweza kuhifadhi hizo 20,000kgs hapa Dar au hakikisha una upgrade FRIGOREX ya gari iweze kuungwa kwenye umeme. Gari likifika Dar unalizima unaunga kwenye umeme. Kisha hakikisha unazo delivery points au HAKIKISHA unapata orders kwanza kutoka kwa retailers. Utatoka......am eyeing this angle so badly....nilinunua semi naona hazilipi kesi na madereva haziishi