Natafuta suppliers wa bidhaa mbalimbali Tanzania kwa ajili ya export

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,240
Reaction score
2,340
Habari zenu wana JF,

Natafuta wakulima, wazalishaji, na suppliers wa bidhaa zifuatazo kwa ajili ya fursa za biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi:

1. Mbao (Timber)

2. Parachichi (Avocados)

3. Ufuta (Sesame Seeds)

4. Kahawa (Coffee)

5. Mafuta ya alizeti (Sunflower Oil)

6. Iliki ya kijani (Green Cardamom)

7. Maharagwe ya kakao (Cocoa Beans)

8. Korosho (Cashew Nuts)

9. Tumbaku ghafi (Raw Tobacco)

10. Mbaazi (Pigeon Peas)

11. Mahindi (Maize)

12. Karafuu (Cloves)

Kwa yeyote anayesambaza bidhaa hizi, ningependa kufahamu yafuatayo:

• Je, tayari unafanya biashara ya kusafirisha nje ya nchi (export), au bado?

• Je, una vibali na nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya kuexport?

• Ni bidhaa gani ulizonazo, na unaweza ku supply kiasi gani kwa mwezi au kwa msimu?

• Bidhaa zako zinapatikana eneo gani nchini Tanzania?

Unaweza kunitumia majibu ya maswali haya DM ili tuweze kuwasiliana zaidi kuhusu uwezekano wa ushirikiano wa kibiashara.
 
Halafu kuna biashara Moja inachukuliwa na wacongo kupeleka kwao,soko lake sijui lipoje!

Wanachukua dagaa mchele kwa wingi sana sasaivi na kuwapeleka congo baada ya kuwachemsha na kuwaanika! Soko lake sijui lipoje kwa anaejua! Tusiishie kumalaumu mama Samia wakati sasaivi fursa nyingi sana aisee.
 
Hujaweka qualities inayo hitajika ama ni bora iwe zao? Nijuavyo quality ya ku export sio ya kitoto labda kama unapeleka Burundi na Congo huko ndiko quality sio nuhimu sana
 
Kibali cha kutoa kahawa nje ukitumia muda mchache ni mwezi mmoja kukipata nadhani ndio moja ya vibali sumbufu kuvipata kuliko zao lolote hapo...
Ndiyo vibali ni changamoto lakini hamna linaloshindikana. Lakini tunatafuta wanaofanya biashara tayari ili tuwaunganishe na buyers hata kama hawana vibali bado, tutawasaidia kufatilia, sasa hivi tayari tunafanya kwenye madini tunataka ku expand kwenye agricultural commodities
 
Hujaweka qualities inayo hitajika ama ni bora iwe zao? Nijuavyo quality ya ku export sio ya kitoto labda kama unapeleka Burundi na Congo huko ndiko quality sio nuhimu sana
Kuhusu ubora inategemea na buyer kwa mfano korosho ina grade mbali mbali na kila buyer huwa anahitaji grade yake kulingana na matumizi yake. kama unafanya biashara naomba nicheki DM
 
Halafu kuna biashara Moja inachukuliwa na wacongo kupeleka kwao,soko lake sijui lipoje!

Wanachukua dagaa mchele kwa wingi sana sasaivi na kuwapeleka congo baada ya kuwachemsha na kuwaanika! Soko lake sijui lipoje kwa anaejua! Tusiishie kumalaumu mama Samia wakati sasaivi fursa nyingi sana aisee.
Hii biashara ipo siku nyingi na wengi huwa wanafata dagaa mafia. Kama unaweza unaenda lubumbashi au Goma kufanya research ya soko kwanza
 
Ndiyo vibali ni changamoto lakini hamna linaloshindikana. Lakini tunatafuta wanaofanya biashara tayari ili tuwaunganishe na buyers hata kama hawana vibali bado, tutawasaidia kufatilia, sasa hivi tayari tunafanya kwenye madini tunataka ku expand kwenye agricultural commodities
Habari mkuu,hapo kwenye madini utaratibu ukoje, na je inakuwaje kama naweza supply Kahawa au Mbaazi kama kampuni na sina vibali.?
 
Na hakuna zao mchongo sasa hivi kama Kahawa.. Hii nchi Serikali haijaamua kuifungua kwa wananchi wake maana tungeweza kutajirika hata na kahawa tu.
Kinachonishangaza mfano Botswana na SA ukitaka kutoa bidhaa yeyote hata mazao yao pale ukihitaji vibali hizo taasisi zao zinakupa msaada mkubwa na wanajibu online haraka kuliko maelezo wakati huku kwetu unafanya mazoezi ya kutosha..
 
Halafu kuna biashara Moja inachukuliwa na wacongo kupeleka kwao,soko lake sijui lipoje!

Wanachukua dagaa mchele kwa wingi sana sasaivi na kuwapeleka congo baada ya kuwachemsha na kuwaanika! Soko lake sijui lipoje kwa anaejua! Tusiishie kumalaumu mama Samia wakati sasaivi fursa nyingi sana aisee.
Wengine tunamlaumu mama Samia kwa Mauaji tuu, sasa hata ukiwa huna akili na mtaji wa biashara umlaumu?
Hapa tunaongelea biashara wewe unaingiza mambo ya Samia, Acha uchawa.
 
Back
Top Bottom