Natafuta suppliers wa bidhaa mbalimbali Tanzania kwa ajili ya export

Natafuta suppliers wa bidhaa mbalimbali Tanzania kwa ajili ya export

Habari mkuu,hapo kwenye madini utaratibu ukoje, na je inakuwaje kama naweza supply Kahawa au Mbaazi kama kampuni na sina vibali.?
Kama una uhakika unaweza ku supply vibali ni suala la kufatilia tuu, naomba nicheki DM
 
Na hakuna zao mchongo sasa hivi kama Kahawa.. Hii nchi Serikali haijaamua kuifungua kwa wananchi wake maana tungeweza kutajirika hata na kahawa tu.
Mi nadhani ni sisi tuu wananchi kukosa taarifa sahihi na exposure. Serikali yenyewe inapaswa tuu kuhakikisha vibali vinapatikana bila kona kona
 
Kinachonishangaza mfano Botswana na SA ukitaka kutoa bidhaa yeyote hata mazao yao pale ukihitaji vibali hizo taasisi zao zinakupa msaada mkubwa na wanajibu online haraka kuliko maelezo wakati huku kwetu unafanya mazoezi ya kutosha..
Huku kwetu bado tunahitaji digital transformation ya ukweli kwenye baadhi ya taasisi lakini kuna taasisi tayari zipo serious kila kitu unafanya online na wapo available kukusaidia na kujibu maswali yako. Kuna wazungu walikuwa wanatuma email taasisi flani na kupiga simu wakawa wanashangaa mbona hawajibiwi miezi na miezi, ikabidi waulize tukawaambia hapo ni mpaka uende physically ndiyo utapata taarifa unazohitaji
 
Wengine tunamlaumu mama Samia kwa Mauaji tuu, sasa hata ukiwa huna akili na mtaji wa biashara umlaumu?
Hapa tunaongelea biashara wewe unaingiza mambo ya Samia, Acha uchawa.
Mkuu Rais wa sasa kafungua fursa nyingi sana, acha kuwasikiliza kina Kitimaa na askofu sijui kumakula na bugonza, hela mtaani imetapakaa kama enzi za JK!
 
Mkuu Rais wa sasa kafungua fursa nyingi sana, acha kuwasikiliza kina Kitimaa na askofu sijui kumakula na bugonza, hela mtaani imetapakaa kama enzi za JK!
Ndo maana nasema Samia hatumlaumu kwa swala la kutokupata fursa. Ni wewe na akili yako tuu pesa na fursa zipo.
Katoa pia fursa kula kwa urefu wa kamba yako, hapa pametengeneza mamilionea wengi serikalini na wengine wanaona hakuna hata haja ya uchaguzi tubadili Katiba aendelee milele.
 
We kama utaki kuchangamkia fursa Baki na uzalendo wako uchwara! Kama unaona umasikini ni ufahari
 
Back
Top Bottom