Natafuta tenda kwenye kampuni, shirika au kiwanda

Tai MARTIN

New Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari za leo jamani mimi ninakuja na suala lingine tofauti, nimekosa wapi ninaweza kupata msaada, nilikuwa natafuta kazi/ajira imekuwa ngumu kwajili ya kipindi hichi cha corona na hali ngumu ya kimapato.

Kwa bahati nzuri nimepata gari ya aina Nissan Serena ipo kama Toyota Alphad natafuta nayo tenda ya kubeba hata staff kuwapeleka makazini na kuwaruisha majumbani gari ina uwezo wa kubeba hadi watu 12, tafadhalini kama mna namna mnawezakunisaidia kuniunganisha na kazi nitashukuru,,pia gari ipokatika condition nzuri sana na bado ni jipya.

email godlistenmartin@gmail.com or phone no.+255 679 170 938.

1.jpeg
2.jpeg
 
Upo maeneo gani? Kama kwa dsm vizia maeneo na muda ambao usafiri unakuwa wa tabu sana ile mida ya asubuhi na jioni, hutokosa mizunguko mitatu na sita jumla kwa siku.
Kwa sababu abiria wako watapata siti kwa ustaarabu mwanana basi unaweza kufanya nauli 1000 kutokana na sehemu husika.
Kwa hiyo 12000×6 = 72000 hapo utalala miguu juu
Mchana unafanya mishe nyingine au hata viji services za gari
 
Back
Top Bottom