Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

Cisco_G

New Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Habari wanaJf.

Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia.

Kwa anaye hitaji au mwenye connection ya hizo sehemu tajwa anicheck kwa namba hii 0684332599

IMG-20211206-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom