Kisasa_rob
New Member
- Oct 1, 2021
- 3
- 2
Habari zenu,
Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar.
Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni 120,000/= to 150,000/= inategemea na umbali.
Karibuni tufanye biashara namba zangu 0766317197 au 0693307877