Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

lizy22

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
25
Reaction score
31
Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu. Naishi mbali sana pia
 
Back
Top Bottom