Natafuta Toyota Passo

Natafuta Toyota Passo

Pamoja na hayo ila Passo haifik mil7 kwa mtu, iyo ni bei ya passo 2 kaka. Shida madalali wanataka watatu matatizo yao yote kwa ela ya mteja mmoja.
Mil 10 ni ukiagiza toka Japan 7 ni hapa nzuri.mpyq ist toka Japan 14 ila mtaan 10 au 11.magari sio simu mkuu
 
Anakudanganya huyo
Speaking from experience.... hiyo Brevis unayoina niliichukua kwa 3.2 Million tu ni namba DJ.
Snapchat-1883412864.jpg
 
Hizi gari ziko poa sana speed+power+appearance & stability ajabu watu wanazikimbia eti zinakula mafuta sana swali kuna gari inayokula mkate?
Mtu akishindwa kuihudumia Brevis basi huyo ni bora kukomaa na pikipiki tu.
 
Back
Top Bottom