Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,816
Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1

Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
 
Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1

Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
Nenda Dukani wape specifications zako kwa bajeti hiyo unapata TV kubwa nzuri tu na yenye warranty.
 
Ajaribu Hisense naona bei ya 65" unaweza pata kwa 1.8m, maduka ya Kariakoo
 
Kwa hiy bajeti yako una machaguo machache
- TCL
-Hisense ( chukua hii 65' waweza ipata kwa 2.2M ) na kwa 55' utapata kwa 1.35m hadi 1.5M inategemea ni wapi utainunua
- Kwa ujumla TCL na Hisense 55'/65' bei zake zinalingana na bajeti yako
Kama ni kwa hizo specs nifate inbox
 
Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1

Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
Tafuta ZANZIBAR utapata, ila hizi za K/koo mtihani kidogo..
 
Back
Top Bottom