KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Nenda Dukani wape specifications zako kwa bajeti hiyo unapata TV kubwa nzuri tu na yenye warranty.Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1
Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
Aende Dubai kununua tv?Nenda Dukani wape specifications zako kwa bajeti hiyo unapata TV kubwa nzuri tu na yenye warranty.
Umelewa we jamaa, amesema Dukai siyo Dubai [emoji23][emoji23]Aende Dubai kununua tv?
inaonekana amesoma kwa harakaUmelewa we jamaa, amesema Dukai siyo Dubai [emoji23][emoji23]
Zipo nying kubwa ila zenye specs kama nazotaka ni mtihanNenda Dukani wape specifications zako kwa bajeti hiyo unapata TV kubwa nzuri tu na yenye warranty.
Kuna wapemba wanazo kutoka Zanzibar used na brand new unapata kwa bei hiyo.Zipo nying kubwa ila zenye specs kama nazotaka ni mtihan
Ulikuwa unakata gogo?Aende Dubai kununua tv?
tafta Lg oled c1 utaenjoy sana
C1 bei sana, japo ni nzr kila kitutafta Lg oled c1 utaenjoy sana
Hao wa kutuma hella af ningoje ni ngum, akiingia mitin ni hasaraKuna wapemba wanazo kutoka Zanzibar used na brand new unapata kwa bei hiyo.
Unatumaje hela Dukani kwa mtu? Wapemba hawana tabia za Utapeli.Hao wa kutuma hella af ningoje ni ngum, akiingia mitin ni hasara
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1
Kwa hiy bajeti yako una machaguo machacheC1 bei sana, japo ni nzr kila kitu
Kama ni kwa hizo specs nifate inboxKwa hiy bajeti yako una machaguo machache
- TCL
-Hisense ( chukua hii 65' waweza ipata kwa 2.2M ) na kwa 55' utapata kwa 1.35m hadi 1.5M inategemea ni wapi utainunua
- Kwa ujumla TCL na Hisense 55'/65' bei zake zinalingana na bajeti yako
Nyingi hazina 120hz, nyingi ni 60Ajaribu Hisense naona bei ya 65" unaweza pata kwa 1.8m, maduka ya Kariakoo
Nyingi hazina 120hz, nyingi ni 60
Tafuta ZANZIBAR utapata, ila hizi za K/koo mtihani kidogo..Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1
Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun