Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

Joined
Aug 5, 2017
Posts
15
Reaction score
11
NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI

Habari zenu wakubwa kwa wadogo.

Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi.

Nahitaji mtu binafsi, mfanya biashara, taasisi au mfadhili anaeweza kuniwezesha zaidi, kuniinua niifanye kulingana hitaji la soko ili kuleta thamani ya kazi na tija zaidi.

Natambua kuna wenye uwezo ila hawana idea na kuna wenye idea ila hawana pesa.

KWA AMBAYE ANAONA ANAGUSWA NA IDEA/WAZO LANGU

Kwa mawasiliano zaidi
Call/Whatsapp
0769971815
 
Perfume unazalisha mwenyewe au unanunua ready made kisha unauza?
Kama unazalisha mwenyewe na una hilo andiko lako nicheck pm nikupe malekezo wapi unaweza pata uwezeshaji Wa kimtaji na elimu ya biashara kupitia Sera ya taifa ya uwezeshaji na ukuzaji Wa viwanda vidogo Tanzania.

Mwanza unapatikana sehemu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom