Natafuta vifaa vya michezo mazingira ya nje kwa watoto

Natafuta vifaa vya michezo mazingira ya nje kwa watoto

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni.

Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k.

Utumapo bei ambatanisha na picha mbalimbali nichague.
 
Back
Top Bottom