Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Kwa mafunzo nko tayalNatafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande.
Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam.
Kama upo njoo PM.
Sio mafunzo, mkuu. Nahitaji watu wenye uzoefu kabisa. Wanaojua jinsi ya kutengeneza na wamewahi kutengeneza.Kwa mafunzo nko tayal
Kila la kheri katika safari yako.Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande.
Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam.
Kama upo njoo PM.
shukurani mkuu, kwa ushauri mzuriKila la kheri katika safari yako.
Mkifungua kampuni au kiwanda mtoe bidhaa nzuri hilo sina shaka. Natumaini kuipata na kuinunua bidhaa yenu yenye ubora.
Na msije anza na bidhaa nzuri yenye viwango siku za mwanzo baadae mkaanza kuchakachua na mkaanza kuleta bidhaa isio na ubora mkapotea kwenye soko.
Bidhaa nyingi hasa za sabuni zinaxotengenezwa na wazawa zinapata dhoruba ya kodi na ushindani baadae hupotea au kupunguza uzalishaji.
Wapiii sabuni za TESA, FOMA, KLIN etc