Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

Hii taarifa ya wewe kuuza ma bandle, makampuni husika ya simu wana taarifa nayo? Kwa maana TIGO , VODA HALOTEL wako humu na wana ona unachokifanya je kama hawana taarifa hawawezi zuia mchakato?
 
Ila binadam👐👐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…