Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu.
Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha.
Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa.
Kazi ni ya msimu wa miezi miwili.
Malazi, chakula na Afya ni juu yangu.
Mwenye uhitaji ama ndugu anaye hitaji kazi tuwasiliane PM.
Akiwa wa hapa hapa Iringa ama mikoa jirani kama Njombe, Dodoma itakuwa vizuri ili iwe rahisi kulipiwa hata nauli.
Anayetoka mbali naweza kumchangia nusu nauli.
Tupo Mkuu.Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu.
Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha.
Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa.
Kazi ni ya msimu wa miezi miwili.
Malazi, chakula na Afya ni juu yangu.
Mwenye uhitaji ama ndugu anaye hitaji kazi tuwasiliane PM.
Akiwa wa hapa hapa Iringa ama mikoa jirani kama Njombe, Dodoma itakuwa vizuri ili iwe rahisi kulipiwa hata nauli.
Anayetoka mbali naweza kumchangia nusu nauli.
ushapata mtu wa kazi kuna dogo anataka hiyo kaz 26yrsVijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu.