Kaka hama hapo uende sehemu ya mbali wasipokufahamu ...wahaya ni watu wabinafsi sana, ukitoboa hapo basi jipange na uwe na nguvu ya ziadaHabari wanjf,
kutokana na tatizo la ajira linaloendelea hapa nchini, ujuzi wa ufundi ndo suluhisho pekee la kuondokana na changamoto hii.
Hivyo natafuta vijana ambao wako tayari kujikwamua kimaisha ila wamekwama kwa namna moja au nyingine waje tuunganishe nguvu mawazo ili tupambane na changamoto hii.
Ujuzi unaohitajika
Nina kijiofisi tayari, Kinachohitajika ni vijana wa kuichangamsha.
- Electronics
- Electrical
- IT
- Plumbing
- Etc
Kwa alie tayari anicheki inbox or wahtsappp +255674664154
wateja bado ila tukikaa pamoja tutajadiliana namna ya kuwasaka wateja...... mmksio bosi hvo kla mtu atajilipa kulingana na bidii yake...Wazo zuri ila jaribu kuweka maelezo ya vipi una wateja tayari? Je utawalipa vipi hao vijana? Je unahitaji wenye ujuzi kupitia vyeti au hata ujuzi kutoka mtaani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
ujuzi wa mtaani vyeti acha nyumbaniWazo zuri ila jaribu kuweka maelezo ya vipi una wateja tayari? Je utawalipa vipi hao vijana? Je unahitaji wenye ujuzi kupitia vyeti au hata ujuzi kutoka mtaani ?
Sent using Jamii Forums mobile app