Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu hiyo website inatumiwaje ? Nime request kitabu ikabidi ni sign up. Ningependa nipate maelezoNenda Stanford online Library
Hivo vitabu vimeandikwa na watu waliomfahamu Mobutu maisha yake. Hivo cha kwanza kimeandikwa na Mkuu wake wa Usalama wa Taifa na cha pili kimeandikwa na mzungu aliyeoa binti ya Mobutu. Ukivisoma hivo vitabu unapata picha halisi nini kilisababisha hasa Zaire kuporomoka, nini kilitokea wakati huo, Mobutu aliishi vipi na wakati anakufa kilitokea nini huko HospitalVinahusu nini mdau? Nimeielewa title hiyo ilomtaja mobutu.
Mkuu hiyo website inatumiwaje ? Nime request kitabu ikabidi ni sign up. Ningependa nipate maelezoView attachment 3125080
Mkuu, vitabu vya kifaransa kuvisoma ni unaingia google una search "translate a book online" utachagua website ya Google ni maalumu kwa kazi hiyo, uta upload kitabu chako alafu uta download translated copyNngependa kuvisoma tatizo lugha tuu
Mkuu. Sijapata mpaka sasaUsipopata nitag kesho jion nikutafutie
Mkuu, unaweza kutusaidia ku request soft copy uweke hapa ?I’m a electronic copy; wewe unromantic hard copy ndiyo maana wanakuambia ukachukue green library.
Naomba utaje jina la kitabu n mwndishiMkuu, unaweza kutusaidia ku request soft copy uweke hapa ?
1.A la cour de Mobutu. Kaandika Pierre janseenNaomba utaje jina la kitabu n mwndishi
Ngoja nijaribu kuomba ntaleta mrejesho1.A la cour de Mobutu. Kaandika Pierre janseen
2. Ainsi sonne le glas. Kaandika Honore ngbanda
Nitajaribu; ila samahani sana kwa jinsi maneno niliyoandika kwa kiswahili yalivyobadilishwa kuwa ya kiingereza na kupoteza maana.Mkuu, unaweza kutusaidia ku request soft copy uweke hapa ?
Haina shida MkuuNitajaribu; ila samahani sana kwa jinsi maneno niliyoandika kwa kiswahili yalivyobadilishwa kuwa ya kiingereza na kupoteza maana.
Kuna kimoja nilipata ni cha kifaransa; hakiko kwenye PDF, ngoja nitafute namna ya kuki-covert to PDF ndipo nikiweke hapa.Haina shida Mkuu
Asante. Nasubiri MkuuKuna kimoja nilipata ni cha kifaransa; hakiko kwenye PDF, ngoja nitafute namna ya kuki-covert to PDF ndipo nikiweke hapa.