Natafuta vitabu hivi

Natafuta vitabu hivi

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Habari,
Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana.

NB
Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu.

Majina kwa kingereza
1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda
2. Inside Mobutu court

Screenshot_20241014-190258.png
download.jpeg
 
Vinahusu nini mdau? Nimeielewa title hiyo ilomtaja mobutu.
 
Vinahusu nini mdau? Nimeielewa title hiyo ilomtaja mobutu.
Hivo vitabu vimeandikwa na watu waliomfahamu Mobutu maisha yake. Hivo cha kwanza kimeandikwa na Mkuu wake wa Usalama wa Taifa na cha pili kimeandikwa na mzungu aliyeoa binti ya Mobutu. Ukivisoma hivo vitabu unapata picha halisi nini kilisababisha hasa Zaire kuporomoka, nini kilitokea wakati huo, Mobutu aliishi vipi na wakati anakufa kilitokea nini huko Hospital
 
Back
Top Bottom