Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

ItsMe92

Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
22
Reaction score
22
Habari ya leo,

Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa

Budget ni Million 3 mpaka 4

Asanteni.
 
Watafute jamaa wanaitwa Kambele invest wanauza viwanja maeneo ya moshi na Arusha.

Wapo FB instagram na google
 
Moshi mjini million 3 sijajua nikusaidiaj mkuu pale uchira tu kakiwanja ni zaid ya milion 10
 
Mleta mada milioni 3 kiwanja kwa Moshi mjini ni ndoto.
Labda atokee mtu akuhonge na sio kukuuzia.
 
Moshi mjini million 3 sijajua nikusaidiaj mkuu pale uchira tu kakiwanja ni zaid ya milion 10
Uchira mpaka 2.5m unapata kuna watu wanaitwa Kambele investmnt wanauza.... sango na mjohoron ndo inafika hadi 6.5m
 
Back
Top Bottom