Natafuta wa kunioa

Halafu mdau uanze kumwaga namba yako hadharani hahahahah
 
Jamani neema wewe ni mzuri ila hofu na mashaka sijui kama chura ipo!
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Nipo namba sasa
 
Kirahisi rahisi hivyo?
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
[emoji1] [emoji3] [emoji119]
Bado mdogo sana utaweza miliki inch 10 wewe au ndiyo utakimbia na ndoa kabisa.....
 
Habari zenu,. mimi naishi Dar es salaam ,kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa,nina miaka 21,elimu yangu ni certificate sijaajiriwa bado .atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi pm..
Daah una mkosi dada angu nimesha OA
 
Kasome atleast uwe na diploma ufike miaka 24 ndoa si yakukimbilia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muache aonje rungu naona INNA una wivu haswa [IMGhutaki mwezio afanikiwe][/IMG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…